Sunday, November 20, 2011

FLY WITH SENGO FC BY BOENG 6 OR WITH IRINGA DOWNTOWN BY NIL?

ILe raha iliyokuwa ikisubiriwa na wapenzi wa SENGO FC kwa takribani wiki moja hatimaye leo imetimizwa kwa nyongeza ya furaha na shangwe kuu kwa mashabiki wa club baada ya SENGO kumaliza kipindi cha kwanza cha mechi hiyo kwa ushindi mwembamba wa goli moja lililokuwa ni zawadi kutoka kwa winger wa kushoto LUTUFYO  . . .lakini mambo yalikua mazuri zaidi katika kipindi cha pili baada ya kupumzishwa kiungo MASHAKA na nafasi yake kujazwa na JACKO MTUYA na kumaliza kabisa ule ukame wa magoli kwa kufungulia mvua ya magoli baada ya kupokea pasi ya kwanza na kuizawadia SENGO goli la pili nakisha kuiongezea la tatu pia la nne na kujiharalishia kuondoka na mpira ulitumika katika mchezo huo lakini kahia hii ya magoli bhaikuhishi hapo baada ya IDDI kutupia a mysterious goal na kuiongezea SENGO goli la tano pia CHESKO kukandamizia kama sio kusisitizia ushindi huo kwa kupachika goli la sita katika uhindi huo!!!!!!!!

Saturday, November 19, 2011

SENGO vs IR DOWNTOWN!!!!!!!

Leo majira ya saa kumi jioni kutakua na hitimisho la mtanange uliokuwa ukisubiriwa na wadau wa soka mjini iringa kati ya SENGO FC na IRINGADOWNTOWN  . . . . .wadau mnakaribishwa  kuipa suport club yenu muiendayo ya SENGO FC ili kuwa kati ya mmoja utakayekua umechangia ushindi huo dhidi IRDOWNTOWN  kwa kufika kushuhudia mchezo huo!!!!

Wednesday, November 16, 2011

UNDER 17 YA TIMU INAYOENDELEA KUKUZA VIPAJI KWA AJILI YA BAADAE KWA AJILI YA SENGO FC!!!!!

KOCHA WA TIMU YA VIJANA YA SENGO FC AKIWA NA WINGER WA TIMU HIYO BAADA YA KUCHUKUA UBINGWA WA MASHINANO YA SONY!!
SHABIKI WA TIMU YA VIJANA WA SENGO AKISHEHEREKEA UBINGWA HUO.
WACHEZAJI WA SENGO YA VIJANA WAKISHEHEREKEA UBINGWA WA MASHINDANO YA SONY.
CAPTAIN WA TIMU YA VIJANA YA SENGO AKIKABIDHIWA KIKOMBE CHA USHINDI WA MASHINDANO YA SONY.
MASHABIKI  PAMOJA NA WACHEZAJI WAKIENDELEZA FURAHA YAO.
KIKOSI CHA TIMU YA VIJANA KILICHOPAMBANA KUFANIKISHA UBINGWA HUO.
MOJA YA WACHEZAJI WA TIMU YA VIJANA YA SENGO(ALMAARUFU KAMA KIMTI)
KINDA JINGINE LA TIMU HIYO LINALOTARAJIWA KUJA KUWA MWIBA MKALI KWA WAPINZANI WA SENGO HAPO BAADAE.
KWELI SENGO HAIKAUKIWI NA VIPAJI NI KINDA JINGINE LINALOTISHA LIKIWA CHINI YA FOOTBALL ACADEMY YA SENGO FC (LIKIENDA KWA JINA MARTIN GAMA)
sengofc@facebook.com

ULIKUA NI MTANANGE KATI YA VIJANA WA SENGO NA VIJANA WA MKWAW UNIVERSITY KATIKA MCHEZO AMBAO SENGO ILIIBUKA NA USHINDI WA 2-0



Thursday, August 4, 2011

Sengo FC: WELCOME TO SENGO FC

Sengo FC: WELCOME TO SENGO FC
wana iringa na tanzania kwa ujumla! hivi kufikia malengo inahitaji kuomba msaada nje ya nchi? basi tuisadie timu yetu ya SENGO ili ifikie malengo kwani ni timu iliyo onyesha malengo na nia ya dhati kulikomboa soka letu watanzania.
Sengo ni timu yenye vijana wadogo wadogo wenye vipaji na uwezo mkubwa kisoka katika manispaa ya Iringa.

Wednesday, August 3, 2011

WELCOME TO SENGO FC


            
   

 
The fort of Mkwawa


Get  news soccer updates from this site