ILe raha iliyokuwa ikisubiriwa na wapenzi wa SENGO FC kwa takribani wiki moja hatimaye leo imetimizwa kwa nyongeza ya furaha na shangwe kuu kwa mashabiki wa club baada ya SENGO kumaliza kipindi cha kwanza cha mechi hiyo kwa ushindi mwembamba wa goli moja lililokuwa ni zawadi kutoka kwa winger wa kushoto LUTUFYO . . .lakini mambo yalikua mazuri zaidi katika kipindi cha pili baada ya kupumzishwa kiungo MASHAKA na nafasi yake kujazwa na JACKO MTUYA na kumaliza kabisa ule ukame wa magoli kwa kufungulia mvua ya magoli baada ya kupokea pasi ya kwanza na kuizawadia SENGO goli la pili nakisha kuiongezea la tatu pia la nne na kujiharalishia kuondoka na mpira ulitumika katika mchezo huo lakini kahia hii ya magoli bhaikuhishi hapo baada ya IDDI kutupia a mysterious goal na kuiongezea SENGO goli la tano pia CHESKO kukandamizia kama sio kusisitizia ushindi huo kwa kupachika goli la sita katika uhindi huo!!!!!!!!
No comments:
Post a Comment