Sengo FC: WELCOME TO SENGO FC
wana iringa na tanzania kwa ujumla! hivi kufikia malengo inahitaji kuomba msaada nje ya nchi? basi tuisadie timu yetu ya SENGO ili ifikie malengo kwani ni timu iliyo onyesha malengo na nia ya dhati kulikomboa soka letu watanzania.
Sengo ni timu yenye vijana wadogo wadogo wenye vipaji na uwezo mkubwa kisoka katika manispaa ya Iringa.
2 comments:
Sengo ni club iliyo onyesha kuwa na mwelekeo mzuri kwani ni timu pekee ambayo inamikakati ya kuwa na vitega uchumi vyake kama:- Kuuza jezi zenye nembo na jina la club pia kuwa na ukumbi wa kuweza kuutumia kwa kurusha mashindano mbalimbali yaligi za ulaya na kujenga banda la kuoyesha sinema.
Sengo ni timu yetu sote wana Iringa, kwa mwenendo inao uonyesha kwa jamii ni vizuri kuiunga mkono wa dhati. isaidiwe kwa michango mbalimbali iwe ni pesa na hata kwa ushauri, vitendea kazi ndo kipaumbele chetu.
Post a Comment